Friday, July 29, 2011

Shujaa wa Tanzanite asiyeimbwa


Moja ya kivutio kilichokuwepo katika maonesho yanayoendelea ya Wizara ya Nishati na Madini ni ushiriki wa mgunduzi wa madini ya Tanzanite kama anavyonekana

Mgunduzi wa Tanzanite Mzee Jumanne Mhero Ngoma (kati) akiwa na maafisa wa GST , baada ya majadiliano mafupi. Picha na Samwel .Mtuwa. Kwa maelezo juu ya mgunduzi wa Tanzanite wasiliana na namba Mobile : +255 754 93 24 21 na email: mtuwasamwel@hotmail.com
Certicate iliyotolewa rasmi na serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kwa mgunduzi wa madini ya Tanzanite mwaka 1984 ilitolewa na Waziri wa Uchumi na Mipango kwa wakti ule .

No comments: