Thursday, July 28, 2011

ajali za barabarani zitakwisha lini,zinazidi kutumaliza tu.!


Gari hii yenye namba za usajili T490 AKG inaelezwa kuwa ndiyo iliokuwa chanzo cha ajali nzima iliyotokea,kwa sababu ilikuwa imeharibika barabarani na mbele yake kukawa na Lori lingine lililokuwa linapandisha.


Picha zote kwa hisani ya Jiachie Blog

No comments: