Thursday, July 21, 2011

breaking news: Jairo asimamishwa kazi

Katibu wa Wizara ya Nishati na Madini Bw. David K. Jairo (pichani) amesimamishwa kazi, taarifa hii imetolewa na katibu Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo leo , Bw. Luhanjo amesema kuwa Bw. Jairo amesimamishwa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma anazokabiriwa nazo.

No comments: