Sunday, July 24, 2011

FREDY MPENDAZOE AFANYA MKUTANO WA HADHARA TABATA LIWITI KATA YA SEGERA JIONI YA LEO

Viongozi Wa Chadema Wa Jimbo la Segerea Na Kutoka Makao Makuu Ya Chadema Wakiongozwa Na Mh Fred Mpendazoe Wakiimba Wimbo Wa Tanzania Tanzania Huku Maneno Ya Kiitiko Wakisema CCM na Wananchi Wakiitikia Kwa Kushika Vichwa
Wananchi Wakishika Kichwa Kama Ishara Ya Kiitiko Kilichokuwa Kikisemwa na Fred Mpendazoe. Fred Mpendazoe Akisema 'CCM OYEEE majibu ya wananchi Ni Kushika Kichwa Na Kusema aaaaahhhhhhhh''
Kijana Mdogo Kabisa Akiwa Anakatiza Mbele ya Kamera Ya Lukaza Blog Akiwa Amevalia Kofia Ya CHADEMA katika mkutano huo uliofanyika Jioni Ya Leo katika Uwanja wa shule ya msingi Liwiti Tabata Segerea
Mzee Mmoja Ambaye Jina Lake Halikuweza Kupatikana Mara Moja(mwenye suti) Alikua Akisema CCM oyeee wakati Wa Mkutano Wa Chadema Ukiendelea Jioni Ya Leo Huku Vijana Wa Chadema wakimzuia na Kumtaka Aondoke Ili kuepusha Vurugu. Zengwe liliendelea Hivi.....
Alipoanza Safari ya Kuondoka Kukwepa Kipigo ambacho akipata kutoka Kwa Vijana Hao wa chadema huku akiwachimba mkwara vijana hao
Akiendelea Kuwachimba Biti Vijana Waliokuwa Wakimzomea Huku Mdogomdogo akitoweka kufuta aibu hiyo.
Mzee Huyo akitaka Kuvuka Barabara Huku Mapapari Wakichukua Taswira Zake kwa kwenda mbele
 Picha Zote Na Mpiga Picha Maalumu Wa LUKAZA BLOG

No comments: