Wednesday, July 20, 2011

Jeshi la Polisi Mchini limejipanga Kikamilifu Kukabiliana na Ajali za Barabarani Nchini

Afisa Mnadhimu mkuu wa wa usalama barabarani, Johansen Kahatama,(katikati)akizungumza na waandishi wa habari leo makao makuu ya Polisi wa Usalama Barabarani(Trafic)jijini Dar es Salaam kuhusu Muongo wa Umoja wa Mataifa(UN)wa usalama barabarani.Kahatama alisema kuwa jeshi la polisi nchini limejipanga kikamilifu kukabiliana na ajali za barabarani. 
Picha na Victor Makinda.



No comments: