Thursday, July 21, 2011

MGOMO WA MADEREVA WA MAGARI MAKUBWA WAENDELEA TUNDUMA MBEYA

Mgomo wa Madereva wa magari makubwa Tunduma unaendelea...baadhi ya madereva wakiwa katika mkutano wao wa mgomo licha ya kuambiwa na Mkuu wa Mkoa Mbeya John Mwakipesile kuwa swala lao linashughulikiwa na serikali

No comments: