Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma, akitoa mada leo asubuhi kwenye mkutano wa wadau wa mawasiliano uliofanyika katika ukumbi wa Mlimami City, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ulikuwa ukijadili juu ya rasimu ya sheria ya mawasiliano ya Kielectroniki na Posta.
Wadau wa mawasiliano wakiwa katika mkutano huo.
Picha zote na Victor Makinda
Picha zote na Victor Makinda
No comments:
Post a Comment