Thursday, July 21, 2011

MKUU WA MKOA WA MBEYA AKUTANA NA MADEREVA TUNDUMA KUZUNGUMZIA KUONGEZEKA MSONGAMANO WA MAGARI ENEO HILO

Mkuu wa mkoa wa Mbeya akifafanua jambo kwenye mkutano huo na madereva

Uongozi wa madereva pamoja na mkuu wa mkoa katikati na kushoto kwake ni Mkuu wa wilaya ya Mbozi wakisikiliza jambo kutoka kwa madereva hao

Meneja wa TRA kitengo cha forodha bwana Rogacian Shirima akizungumzia kuongeza idadi ya siku za kusimamia magari hayo kutoka Dar hadi Tunduma ama Kasumulu ambapo watachukua siku saba badala ya siku tano za awali.

Kamanda wa polisi wilaya ya Mbozi Afande Ernest Dudu akizungumzia utaratibu Trafiki kukagua magari hayo tu pale yanapokuwa mizani.

Hapa viongozi wa madereva wa Magari ya biashara wakikataa  hivi hivi pale hoja yao ilipokumbana na upinzani wa wale wanaowaongoza

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya  Mwakipesile akiwa amekasirika baada ya kukutana na maswali mengine yanayoonyesha kutokukubaliana na yale wanayoshauriwa!

No comments: