Saturday, July 23, 2011

Waziri Mkuu Mh Azindua Bodi Ya Mikopo ya Serikali za Mitaa

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Aggrey Mwanri (kulia ) na Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa,Dr. Charles Kimei (kushoto) kwenye Kituo cha Mikutano cha St. Gaspar Mjni Dodoma baada ya kuzindua Bodi hiyo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa kwenye Kituo cha Mikutano cha St. Gaspar Mjni Dodoma.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu



No comments: