Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa DR, Asha -Rose Migiro akipokea zawadi kutoka kwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri la Tanzania Job Ndugai.
Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Dr, Asha Migiro akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Job Ndugai alipowasili ofisini Bungeni Dodoma na kufanya mazungumzo nae, (AUG, 11-2011).
Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
No comments:
Post a Comment