Tuesday, September 13, 2011

LATEST NEWS: TUKIO LA AJALI YA NDEGE LEO ASUBUHI MKOANI MBEYA NANE NANE UYOLE

HIVI NDIVYO NDEGE ILIVYO UMIA BAADA YA KUANGUKA ENEO LA NANE NANE UYOLE MBEYA

ABIRIA WA NDEGE WAKIWA NA FURAHA MALA BAADA YA KUPONA KATIKA AJALI HIYO ILIYO TOKEA LEO ASUBUHI NANE NANE UYOLE MKOANI MBEYA
NDEGE INAVYO ONEKANA BAADA YA KUPATA AJALI

PAIROTI WA NDEGE NAMBA 9J-BIO SESINA 206 AKIPATA HUDUMA YA KWANZA PAMOJA NA ABIRIA WENGINE WALIO KUWEMO KATIKA AJALI HIYO
 BAADHI YA WATU WALIO  FIKA ENEO HILO LA TUKIO KUTOA MSAADA BAADA YA AJALI HIYO
MMOJA YA ABIRIA ALIYEKUWEMO KATIKA NDEGE HIYO AKITOA MAELEZO MACHACHE JUU YA AJALI HIYO 
ENEO LA MBELE
 == == = = = == ==  =
HABARI KAMILI

Ajali ya ndege namba  9J-BIO SESINA 206, imetokea leo asubuhi majira ya saa tatu eneo la Nanenane Uyole jijini Mbeya  na abiria wanne wanusurika kifo na hakuna aliyefariki.

Abiria walionusurika kifo ni pamoja JVER WAAK Umri wa Miaka 49 ambayealikuwa Rubani, Raia wa Afrika Kusini, Bwana CHRISTIAN BASIL MMASI umri miaka 30, Ambaye ni Afisa Utawala wa mashamba ya Kapunga wilaya ya Mbarali, Balozi MOHAMMED RAMIA kabula leke ni Mmakua mwenye umri wa miaka 64, mkazi wa Masaki jijini Dar es Salaam ambaye ni mfanyakazi EXPORT TRADING na Bwana SUNNY TAYIR mwenye umri wa miaka 50 ambaye ni Mhindi na ni mfanyakazi wa EXPORT TRADING.

Na chanzo cha ajali hiyo akijafahamiaka mpaka sasa.

Imetolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya Bwana ANACLET MALIMBISA






No comments: