Wednesday, September 7, 2011

Vimwana Wa Vodacom Miss Tanzania Wajifunza Kuendesha Jeep Patroit 2011

Baadhi ya magari yaliyotumiwa kuwafundisha walimbwende wa Vodacom Miss Tanzania katika ufukwe Coco beach.
Mshiriki wa Vodacom Miss Tanzania Alexia William akimsikiliza Afisa Mauzo wa kampuni ya kuuza magari ya CFO Motors Magdalena Mpeku akimpa maelezo namna ya kuendesha gari la aina ya Jeep Patroit lenye thamani ya Tsh Milion 72 ambalo Vodacom Miss Tanzania 2011 atazawadiwa siku ya shindano hilo Mlimani City Dares Salaam septemba 10.
Vodacom Miss Photogenic Stacy Sospeter akishuka kwenye gari aina ya Jeep Patroit ambalo alikuwa akijifunzia namna ya kuendesha,Mshindi wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 atazawadiwa gari ya aina hiyo yenye thamani ya Tsh Milion 72.
fisa Mauzo wa kampuni ya kuuza magari ya CFO Motors Graciano Mfuse akiwapa maelezo baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 kabla ya kuanza mafunzo rasmi ya namna ya kuendesha gari aina ya Jeep Patroit lenye thamani ya Tsh Milion 72 ambalo Vodacom Miss Tanzania 2011 atazawadiwa siku ya shindano hilo Mlimani City Dares Salaam septemba 10.


No comments: