Mkurugenzi wa Mamlaka ya Uthibiti wa Nishati na Maji (EWURA), Haruna Masebu, akifafanua jambo katika mkutano wa wadau wa mafuta uliofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee, jijini Dar es Salaam.Katika mkutano huo wa wadau EWURA walikuwa wakikusanya maoni kuhusu mchakato wa kushusha bei za mafuta kwa kuondoa tozo mbali mbali katika nishati hiyo muhimu. |
No comments:
Post a Comment