Muheshimiwa Barozi wa Zambia Nchini Malaysia akiwa anatia sahihi wakati akiingia katika Hafla Fupi ya Chakula Cha Jioni kuwasaidia watoto wa Swaziland ambao wanapata shida ya Njaa na Uathirika wa Ugonjwa wa Ukimwi
Fredy Tony Njeje Msimamizi Mkuu wa Latest News Tz akiwa anatia saini katika kitabu cha wageni kabla ya kuingia katika chakula cha usiku kilicho andaliwa kwa nia ya kuwasaidia watoto wanaoishi maisha magumu huko Swaziland
Muwakirishi Kutoka Ubarozi wa Swaziland Nchini Malaysia Akizungumza wakati wa Hafla hiyo fupi ya Changizo la watoto wanaoishi maisha magumu, Na kuwashukuru watu kwa msaada wa hali na mali wakati wa Chakula hicho cha Jioni. Pia aliwashukuru wote waliohudhiria na kuchangia.
Barozi wa Zambia Nchini Malaysia akizungumza jambo juu ya The Charity Swazland Project na kuwashukuru pia kuwapongeza wote ambao wameandaa Chakula cha jioni Kuwasaidia watoto hao wa Swaziland wanayeseka na njaa pia ugonjwa wa hatari Ukimwi
Mkuu wa Haki za Binadamu Pia alipata nafasi ya Kuongea na alizungumzia juu ya umuhimu wa haki sawa kwa watoto na watu wote kwa ujumla na kuwapongeza waandaaji wa Chakula cha jioni kuwasaidia watoto huko Swaziland
Fredy Tony Njeje Mwandishi na msimamizi mkuu wa Latest News Tz akiwa anasikiliza kwa umakini wakati viongozi mbali mbali walipokuwa wakisema maneno machache wakati wa Chakula cha jioni kuwasaidia watoto wanaoishi maisha magumu na waathirika wa UKIMWI ambapo Latest News Tz tulipata Mwaliko Maalum kabisa.
Baadhi ya watu walio kuwepo katika Chakula cha Jioni wakati wa kuwasaidia watoto hao wanaoishi maisha Magumu huko Swaziland
Tukipata Dinner la Nguvu wakati wa tukio hilo
Nikiwa Pamoja na Waandaaji wa The Charity Dinner The Swaziland Project
Producer na msimamizi wa Tone internet Radio Fredy Tony Njeje Kulia pamoja na Producer wa Sinema Kutoka Iran
No comments:
Post a Comment