Ndugu na majirani wakiwa wamebeba mwili wa mtoto Ally Rashid Shabani (7) aliyegongwa na gari na kutupwa ufukwe wa Coco, Dar es Salaam, wakiwasili nyumbani baada ya kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam. Mazishi yalifanyika katika makaburi ya Mbuyuni Mtoni Relini, Dar es Salaam.
(Picha na Yusuf Badi).
(Picha na Yusuf Badi).
No comments:
Post a Comment