Tuesday, October 25, 2011

Breeking newz: WATU ZAIDI YA 40 WANAHOFIWA KUFA KUFUATIA AJALI MBAYA YA BASI LA DILUX KUPINDUKA.


KWA TAARIFA ZILIZOPATIKANA HIVI PUNDE KUTOKA KWENYE VYANZO VYETU VYYA HABARI,ZINAELEZA KUWA WATU ZAIDI YA 40 WANAHOFIWA KUFA,KUFUATIA AJALI MBAYA YA BASI LA DELUX LINALOFANYA SAFARI ZAKE KATI YA DAR NA DODOMA KUPINDUKA NA KUANZA KUTEKETEA KWA MOTO MAENEO YA KONGOWE, KILOMETA KUMI KABLA YA MLANDIZI,INAELEZWA KUWA ENEO LA TUKIO SIO NZURI NA KIKOSI CHA ZIMAMOTO KIMEWASILI ENEO HILO.

HABARI KAMILI TUVUTE SUBRA KIDOOGO.
Habari kwa Hisani ya Jiachie blog

No comments: