Wednesday, February 22, 2012

Jeshi la Polisi lachukua Sheria Mkononi Lasababisha mauaji ya Wanachi walio kuwa wakiandamana kutaka haki zao huko Songea Leo

Mwandishi wa TBC 1 akiwa amejificha akiogopa kupigwa Risasi wakati wa machafuko hayo

Mtu mmoja ambae Jina lake halija fahamika mapema akiwa amepigwa Risasi na Polisi na Kufariki Papo hapo mapema leo

Polisi wakijaribu Kuvurumisha Risasi Kuwapiga wananchi Huko Songea Leo

Damu Nyingi ikiwa inamwagika Baada ya Polisi kusababisha kifo cha mwananchi kwa kumpiga Risasi Mgongoni 
Picha zote kwa hisani ya Libeneke kutoka Songea

No comments: