Saturday, July 30, 2011

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AMJULIA HALI MZEE MALECELA MJINI DODOMA

Mama Asha Bilal, akisalimiana na Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu, John Malecela, wakati alipofika kumjulia hali nyumbani kwake mjini Dodoma na Makamu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia) baada ya kufanyiwa upasuaji nchini India hivi karibuni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu John Malecela, alipofika kumjulia hali nyumbani kwake mjini Dodoma jana. Mzee Malecela alifanyiwa upasuaji nchini India na hali yake inaendelea kuimarika.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu, John Malecela, wakati alipofika nyumbani kwake mjini Dodoma jana kumjulia hali baada kufanyiwa upasuaji nchini India hivi karibuni. Kushoto ni Mama Asha Bilal.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na mke wa Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu, John Malecela (wa pili kulia) ambaye pia anaagana na mke wa Kamau wa rais Mama Asha Bilal, baada ya mazungumzo wakati walipofika nyumbani mstaafu huyo mjini Dodoma jana,kumjulia hali baada kufanyiwa upasuaji nchini India hivi karibuni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu, John Malecela na mkewe, Anne Kilango, wakati Makamu alipofika nyumbani kwa Malecela mjini Dodoma jana, kwa ajili ya kumjulia hali baada ya kufanyiwa upasuaji nchini India hivi karibuni. 
Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments: