Saturday, October 1, 2011

Balozi wa Italy nchini Tanzania Amtembelea Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Italy nchini Tanzania Peirliugi Velardi,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar.30/09/2011
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Italy nchini Tanzania Peirliugi Velardi,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar.30/09/2011.
Picha na Ramadhani Othman Ikulu-Zanzibar

No comments: