Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Denmark nchini, Mh. Bjarne Henneberg Sorensen ambaye alkwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuaga Septemba 30,2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa China nchini, Mhe. Liu Xinsheng, kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 30,2011.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment