Saturday, October 1, 2011

BANDA LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA

ELIMU KWA UMMA INATOLEWA KATIKA KUONGEZA UELEWA WA MAJUKUMU MBALIMBALI YA BIMA YA AFYA NA ILE YA MIFUKO YA AFYA YA JAMII PIA UPIMAJI WA AFYA KWENYE BANDA LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA KULIA NI AFISA ANAYESHUGHULIKIA WANACHAMA BWN. PAUL MARENGA AKIFAFANUA JAMBO KWA MWANACHAMA WA BIMA YA AFYA BI L. SWAI.
AFISA UHUSIANO MWANDAMIZI WA NHIF BWN LUHENDE SINGU AKITOA MAELEZO YA UMUHIMU WA FAO LA WASTAAFU KWA WANACHAMA WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA ANAYEMSIKILIZA NI MWALIMU MSTAAFU BWN.JOHN LUSINGU KUTOKA MAGU SHINYANGA ALIPOTEMBELEA KWENYE BANDA LA MFUKO HUO WAKATI WA MAONESHO YA MAADHIMISHO YA MIAKA YA 50 YA UHURU YALIYOFUNGULIWA LEO JIJINI DAR ES SALAAM.

No comments: