Thursday, February 2, 2012

FASHION 4 FLOODS wakabidhi MISAADAMsimamizi
Msaidizi wa mipango na kuratibu katika ofisi ya mkuu wa mkoa
Bw.Eliyan.M.Ntandu akimchukuru muandaaji wa Fashion For Floods Mustafa
Hassanali, huku Meneja Mradi wa 361 degrees Gloria Mongela akishuhudia
tukio hilo katika makabidhiano hayo yalifanyika jana Januari 31,2012
jijini Dar es Salaam.Picha Na Father Kidevu

No comments: