Thursday, February 2, 2012

Balozi wa Cuba nchini afanya ziara mkoani Ruvuma

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma,Dkt. Anselm Tarimo akimkaribisha Balozi wa Cuba nchini,Mh. Ernesto Gomez Diaz wakati Balozi huyo alipofanya ziara ya kikazi yenye lengo la kukuza ushirikiano wa nchi mbili mkoani Ruvuma leo katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma.
Dkt Pulor Lopez Hernandez kutoka Cuba ambaye anafanya kazi katika hospitali ya Mkoa wa Ruvuma akijitambulisha kwa Balozi wa cuba hapa nchini.
Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dkt Hassan Lumbe akitoa maelezo kwa Balozi wa Cuba Ernesto Gomez Diaz wakati balozi huyo alipotemebelea na kukugua wodi ya magonjwa katika hospitali ya mkoa wa Ruvuma leo.
Picha na Muhidin Amri wa Globu ya Jamii,Ruvuma.

No comments: