breking nyuuuuzzzzz: globu ya jamii yazoa tuzo tatu kwa mpigo
Hello Issa Michuzi,
Tanzanian Blog Awards Team tunapenda kutoa shukurani zetu za dhati kwa wewe kukubali kushiriki katika shindano letu. Pia tunapenda kukupa hongera kwa blog yako kujipatia ushindi.