Friday, July 29, 2011

Happy Birthday kwa Blogger Fredy Tony Njeje since 29th July 1980's

Fredy Tony Njeje together with co-founder and promoter of the online encyclopedia Wikipedia Jimmy Wales in one of the Successfully meeting concerning online issues.
========
Kwanza kabisa Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa afya Njema na kutubariki mpaka tupo hapa muda huu, lakini pia tunapenda kuchukua nafasi hii ya Kipekee kabisa kutoa shukurani zetu za DHATI kwa Mabloga wote wa Tanzania kwa kutupa sapoti kubwa pale tulipo na tunapo hitaji msaada wao, hatutaweza kumtaja mmoja mmoja lakini Mungu awabariki sana.. mafanikio yetu ni mafanikio yenu pia na kwa wadau wote.. Baada ya kusema hayo timu nzima ya Tone Multimedia Company Limited Victor Luvena, Ernest Luseshelo Njeje, Joseph Mwaisango sillah Mbuya  ambao ni wamiliki wa Mbeya yetu BlogTone Internet RadioLatest News Tz BlogCheka Upasuke Blog na Amazing Tanzania Tours Blog, pamoja na wadau wote tunachukua nafasi hii ya ki pekee kumpongeza Cheif Multimedia Architect Mr. Fredy Tony Njeje ambae leo anakumbuka siku yake ya kuzaliwa, tunamuombea maisha Marefu na Mungu amzidishie kipaji cha ubunifu na cha kipee alicho nacho,vile vile Tunampongeza sana kwa kuanzisha Radio ambayo ni ya kiteknorojia zaidi TONE INTERNET RADIO ni moja ya mafanikio yake makubwa tunamtakia afya njema.

Imetolewa na,
Joseph Mwaisango
Public Relation Officer
Tone Multimedia Company Limited

No comments: