Tuesday, July 12, 2011

Je Waijua Historia ya Hiki Kitu...?

Haya ni maji Ambayo yapo Juu ya kimondo Hicho, hayakauki hata kama ungenawa vipi ama kuyachota 

Hiki ni Kimondo kilichopo Ndorezi Wilaya ya Mbozi.. Full Documentary itawajia hivi Karibuni