Tuesday, July 12, 2011

LATEST NEWS: KAFULILA ACHAFUA HALI YA HEWA BUNGENI MUDA HUU

Hali ya bungeni si shwari mchana huu mjengoni baada ya Mbunge Kafulila, kuchafua hali ya hewa kwa kauli yake kuwa Tanzania ni taifa 'omba omba' kauli iliyomchukiza Mwenyekiti wa kikao hicho aliyemtaka kufuta kauli yake hiyo kabla ya Waziri wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta, kusimama na kuchafua zaidi hali ya hewa kwa wapinzani kwa kauli yake kuwa 'kazi yao kupinga na watabaki kuwa wapinzani daima'.
Habari kwa hisani ya Sufiani Mafoto