Sunday, July 24, 2011

Kigamboni

 Hapa ni Jirani kabisa na kituo cha kivuko upande wa Kigamboni
 Pembeni kidogo katika lango la kuingilia katika kivuko hicho kuna hili Balaa hapa... Ni eneo la kuhifadhia taka, lakini kama lionekanavyo hapo hakuna mtu anae Tazama na ikizingatiwa eneo hili ni muhimu kabisa kwa watu wote hasa wageni, Wahusika kama  wapo walitazame swala Hili.
Hapa ni ndani kidogo njia ya kuelekea katika makazi ya watu na pia kujivinjali katika Beach mbali mbali Kigamboni
 Wadu wengi mida ya mchana hupenda kutembea Beach kupunguza mawazo na mambo mengine.. hapa usafiri mkubwa ni Boda Boda maana kuna msongamano wa kutosha wa Magari
 Kibanda hiki kipo Bara barani kabisa Kigamboni ni makazi ya watu. njia  ya kuelekea katika makazi ya watu mbali mbali, pia njia hii inaelekea katika moja ya Beach kubwa eneo hilo.
Kigamboni Biashara hizi za makopo na vitu vya maplastic kwa ujumla havipo nyuma sana kila baada ya hatua chache utakutana navyo.. na hili ni moja ya maduka wanao husika na biashara hivyo... ni bora kulipo ya vyuma chakavu

No comments: