Thursday, July 14, 2011

MATUKIO BUNGENI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni Mjini Dodoma Julai 14, 2011.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda(aliyevaa kitenge) alisalimiana na Meneja wa Shule hiyo, Sankarapandi Sivaraman (ayelie na asili hya kihindi) katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo
PICHA NA MAGRETH KINABO.
Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa(kulia) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Arusha, Godbless Lema (kushoto) na Mbunge wa Jimbo la Mbozi Magharibi, David Silinde(katikati
PICHA NA MAGRETH KINABO.

Waziri Mkuu, Mizengo PInda akizungumza na Ujumbi kutoka Taasisi ya Hifadhi ya Jamii ya Ghana, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Julai 14,2011. Kulia kwake ni Waziri wa Kazi na Ajira , Gaudencia Kabka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimshukuru Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Hifadhi ya Jamii ya Ghana, Dr. Grand Sapara, Ofisini kwake, Bungeni Mjini Dodoma Julai 14, 2011.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)