![]() |
| Mkuu wa mkoa wa Mbeya akifafanua jambo kwenye mkutano huo na madereva |
![]() |
| Uongozi wa madereva pamoja na mkuu wa mkoa katikati na kushoto kwake ni Mkuu wa wilaya ya Mbozi wakisikiliza jambo kutoka kwa madereva hao |
![]() |
| Kamanda wa polisi wilaya ya Mbozi Afande Ernest Dudu akizungumzia utaratibu Trafiki kukagua magari hayo tu pale yanapokuwa mizani. |
![]() |
| Hapa viongozi wa madereva wa Magari ya biashara wakikataa hivi hivi pale hoja yao ilipokumbana na upinzani wa wale wanaowaongoza |
![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mwakipesile akiwa amekasirika baada ya kukutana na maswali mengine yanayoonyesha kutokukubaliana na yale wanayoshauriwa! |






No comments:
Post a Comment