Tuesday, July 26, 2011

Papa Avuliwa Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja

Wachuuzi wa samaki kwenye soko kuu la mjini Unguja pamoja na wananchi wakimwangalia samaki mkubwa aina ya Papa aliyevuliwa Nungwi mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kufikishwa Darajani mjini Zanzibar.Papa huyo ambaye hata wavuvi walishindwa kukadiria uzito wake, alikatwa vipande zaidi ya 10 ambapo kila kimoja kiliuzwa zaidi ya sh.200,000. (laki mbili).
Picha na Zote na Martin Kabemba
Habari kwa hisani ya Haki Ngowi

No comments: