Rostam Aziz(kushoto)akisoma hotuba yake ya kujiuzulu mbele ya wazee na wanachama wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Igunga, ambao wengi wao waliangua kilio baada ya kusikiliza tamko lake.
Picha Zote na Mdau Abdulwakil Saiboko
Vilio vya kwikwi na sauti pia vilitawala kufuatia uamuzi wake huo kwani licha ya kuandamwa na maneno mengi lakini huenda wananchi wa jimbo la Ingunga mkoani Tabora walikuwa wanafaidika sana na uongozi wake jimboni humo.
Kwakua alikuwa akiongea na wazee lakini Vijana nao hawakusita kuonesha masikitiko yao pale walipofika ghafla na mabango yaliyo na jumbe mbalimbali. Picha Zote na Mdau Abdulwakil Saiboko