Tuesday, July 26, 2011

Serikali yapata gawio lake toka benki ya jamii ya NMB

Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo (kushoto) akipokea hundi ya gawio la shilingi bilioni 5.7 kutoka kwa viongozi wa Benki ya NMB waliotoa jana(leo) jijini Dar es salaam kwa Serikali. Wengine ni Mtendaji Mkuu wa NMB(CEO) Mark Wiessing(katikati) na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB Misheck Ngatunga(kulia).
Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo (kushoto) akiongea na waandishi wa habari jana(leo) jijini Dar es salaam mara ya kupokea hundi ya gawio la shilingi bilioni 5.7 kutoka kwa viongozi wa Benki ya NMB waliotoa kwa Serikali. Wengine ni Mtendaji Mkuu wa NMB(CEO) Mark Wiessing(kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB Misheck Ngatunga
Habari kwa  hisani ya Issa Michuzi

No comments: