Mshindi wa jumla wa mashindano ya mchezo wa POOL George Simbachawene Mbunge wa Kibakwe (Kulia) akiangalia zawadi ya ngao aliyopewa na Chama Cha mchezo huo (TAPA) mara baada ya kuibuka mshindi wakati wa mashindano ya timu ya bunge na combine ya TBL na TAPA yaliyofanyika jumamosi iliyopita mjini Dodoma. Kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa hafla hiyo fupi ya kukabidhi zawadi kwa washindi iliyofanyika nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja (kushoto) akimpongeza mshindi wa jumla wa mashindano ya mchezo wa POOL George Simbachawene Mbunge wa Kibakwe (Kulia) mara baada ya kuibuka mshindi wakati wa mashindano ya timu ya bunge na combine ya TBL na TAPA yaliyofanyika jumamosi iliyopita mjini Dodoma. Hafla hiyo fupi ya kukabidhi zawadi kwa washindi ilifanyika leo nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja (kushoto) akimkadbidhi Mshindi wa pili wa mashindano ya mchezo wa POOL Dkt. Charles Tibeza Mbunge waBuchosa (Kulia) zawadi ya fimbo ya kuchezea aliyopewa na Chama Cha mchezo huo (TAPA) mara baada ya kuibuka mshindi wakati wa mashindano ya timu ya bunge na combine ya TBL na TAPA yaliyofanyika jumamosi iliyopita mjini Dodoma. Hafla hiyo fupi ya kukabidhi zawadi kwa washindi ilifanyika leo nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja (kushoto) akimkadbidhi Mshindi wa jumla wa mashindano ya mchezo wa POOL George Simbachawene Mbunge wa Kibakwe (Kulia) zawadi ya ngao aliyopewa na Chama Cha mchezo huo (TAPA) mara baada ya kuibuka mshindi wakati wa mashindano ya timu ya bunge na combine ya TBL na TAPA yaliyofanyika jumamosi iliyopita mjini Dodoma. Hafla hiyo fupi ya kukabidhi zawadi kwa washindi ilifanyika leo nje ya viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Picha na Anna Nkinda - Maelezo
No comments:
Post a Comment