Sunday, July 24, 2011

Tracy Sospeter Mabula ndiye Vodacom miss lake zone 2011.

Vodacom Miss Lake zone 2011 Tracy Sospeter Mabula, akiwa na washindi wenzake, kushoto kwake ni Irene Karugaba mshindi wa Pili, Kulia Kwake ni Glory Samwel mshindi wa Tatu. Washiriki hawa watatu watawakilisha kanda ya ziwa katika mashindano ya Urembo ya Taifa Jijini Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya  

No comments: