Saturday, July 30, 2011

VODACOM FAMILY DAY 2011 YAANZA KUNDUCHI BEACH HOTEL LEO

Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakishindana kwenye mchezo wa kukimbia na gunia katika siku ya” Vodacom family day”inayofanyika Hotel ya Kunduchi Beach jijini la Dares Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwashangilia watoto walioshiriki katika michezo mbalimbali siku ya “ Vodacom family day”inayofanyika leo katika Hotel ya Kunduchi Beach jijini Dares Salaam


Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakichuana vikali katika mchezo wa Beach Volleyball siku ya Vodacom family day inayofanyika leo katika Hotel ya Kunduchi Beach jijini Dares Salaam.

No comments: