VODACOM MISS LAKE ZONE KUFANYIKIA LEO NDANI YA MELI JIJINI MWANZA
Warembo wa Vodacom miss lake zone wakiwa wajipanga kwaajili ya picha ya pamoja katika uzinduzi wa eneo husika ambapo mtanange huo utakapofanyika siku ya jumamosi.
Second ofisa wa meli ya Victoria Godifrey Kalikayo akitoa maelezo kwa washiriki wa miss lake zone walipotembelea meli hiyo kujionea utendaji kazi
Warembo wakipata misosi mchana wa jana
No comments:
Post a Comment