Tuesday, July 19, 2011

HII NI KERO: WAKAZI WA SAE MTAA WA HAYANGA WAILALAMIKIA HALMASHAURI YA JIJI YA KUWAACHIA KIFUSI KATIKATI YA BARABARA ZAIDI YA WIKI MBILI

Huu ni mojawapo ya mitaa ya sae Mbeya ambayo halmashauri ya jiji la mbeya imemwaga kifusi kwa ajili ya kutengeneza barabara ni zaidi ya wiki mbili sasa kifusi kipo katikati ya barabara hakuna kinachoendelea ukiuliza unaambiwa greda ya kusambazia limekodishwa sehemu nyingine
Hakuna hata sehemu ya kupitisha Gari yaani nikero tupu

No comments: