Tuesday, July 12, 2011

Zantel Yawaandalia Wabunge mnuso wa Zantel Dodoma

Waheshimiwa wakionyesha umahiri wao kwenye densing floo.
Afisa Mkuu wa Kiufundi Zantel Moncef Mettiji akimkabidhi modems Naibu Spika Mhe. Joe Ndungai zilizotolewa na Zantel kwa ajili ya ofisi za bunge za Dodoma, Dar es Salaam na Zanzibar
Wacheza shoo wa bendi ya Extra Bongo wakiwatumbuiza waheshimiwa
Afisa Mkuu wa Kiufundi Zantel Moncef Mettiji akitoa hotuba yake kwa niaba ya Afisa Mkuu Mtendaji wakati wa ‘Usiku wa Zantel’ hafla iliyoandaliwa kwa ajili ya wabunge ya wabunge Dodoma.
Habari kwa hisani ya Issa Michuzi

No comments: