Tuesday, August 30, 2011

ALIYEIBA SIMU ATOZWA FIDIA NA SIMU YAACHA KULIA TUMBONI


Simu iliyoibiwa
Mama mzazi Bi CHRISTINA MWAKALONGE
Mwenyekiti wa Mtaa Bwana ASIFIWE MWAKALONGE
Kaka wa muhanga wa tukio hili Bwana DANIEL MWASYOGE
Mwenye simu aliyejulikana kawa jina la Japhet Muhabe mkazi wa Mbalizi amepokea fidia ya shilingi elfu 60,000/= kutoka kwenye familia ya Mwasyoge na kuichukua simu yake aina ya HUAWEI yenye thamani ya shilingi 25,000/= hivyo simu kuacha kulia tumboni kwa mtuhumiwa wa wizi wa simu hiyo RICHARD GODSON mwenye umri wa miaka 27, mkazi wa Pipe Line na tumbo lake limerejea katika hali ya kawaida.

No comments: