Tuesday, August 30, 2011

AUAWA KIKATILI NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI KISA ALIIBA KUKU ENEO LA MWENGE SHULE YA MSINGI MBEYA



 Marehemu NASIB EXZAVERY maalufu kama Mkemia akiwa amechomwa moto eneo la viwanja vya Shule ya Msingi Mwenge Jijini Mbeya kwa kosa la wizi wa kuku ambaye Mwenye Kuku huyo hajafahamika.

 Marehemu NASIB pamoja na Kuku waliodaiwa kuwaiba na kumsababishia kifo.
 Inasikitisha sana
 Jeshi la Polisi likiwa limefika eneo la Tukio kuuchukua Mwili wa marehemu na kuupeleka katika hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya
 Gari hili ndilo linalodaiwa kuwa marehemu alikuwa akifanya kazi kama Utingo.
Watoto wa shule ya Msingi Mwenge wakiwa eneo la Tukio

No comments: