Hali ya upatikanaji wa nishati ya mafuta mkoani Iringa ni tete vituo vyote vyafungwa baada ya mafuta ya Disel na Petrol kukosekana .
Hadi saa 4 asubuhi ni kituo kimoja pekee cha Gapco ndicho kilikuwa na mafuta ila kwa sasa hakuna kituo hicho pia kimeishiwa mafuta na kimefungwa.
Mdau wa mtandao huu hivi sasa hapa Dodoma nako hali si shwari vituo vingi vimefungwa na tayari mwenyekiti wa ,kamati ya Nishati amewasilisha hoja ya kutaka suala hili lichunguzwe na habari za ndani hya kikao cha kamati ya usalama ya bunge zinadai kuwa upo uwezekano wa kikao cha bunge kusitishwa wakati wowote kuanzia sasa kutokana na jeuli ya wauza mafuta
Habari kwa hisani ya Francis Godwin

No comments:
Post a Comment