Saturday, August 27, 2011

Hivi Hawa Traffic kwa nini wanajificha Chimbo? kwani Huko porini ndio Magari yanakatiza?


 Kituo Cha kwanza unaingia Pori unaondoka
 Sehemu ya Pili tena unaingia pori unatoka
Sehemu ya tatu wanangojea waje kusaini
Unaanzia hapa kwanza kwa huyo jamaa alie vaa shati la Blue kisha unamalizia kwa yule jamaa mbele alie vaa shati la kijani
Haya ni matukio mbali mbali ambayo yamepatikana katika eneo husika swali lilikuja je ni kwa nini hawa hawana ofisi zozote na kufanyia kazi chini ya miti?

No comments: