Wednesday, August 17, 2011

KIJANA AONESHA KIPAJI CHA KUTENGENEZA NGUVAKijana Imani Ibrahimu (18) akiwa ameshika kinyago cha Nguva alichotengeneza yeye mwenyewe na kukiuza Shilingi 8,000/= kwa kila kimoja.

Anasema alijifunza kuunda vinyago hivyo kutumia Salfeti baada ya kumuona Baba yake mzazi anaye ishi Uyole Jijini  Mbeya.

Habari na Picha ni kwa hisani ya
Gordon Kalulunga na Tanzania Yetu


Tunaomba Radhi kuwa picha hazipo Clear sana

No comments: