Friday, August 5, 2011

MBEYA MIAKA MIWILI IJAYO

HUU NDIO UBUNIFU WA DARAJA LA JUU KWA WATEMBEA KWA MIGUU WA JIJI LA MBEYA ENEO LA MWANJELWA KAMA ULIVYOBUNIWA NA TAASISI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA

2 comments:

Pendo Newton Kyando said...

Gud idea but after ten yearz may be, only two yearz pabadilike hvyo ni ngum tumeshazoea kupewa lugha nzur mzik unakuja ktk utekelezaji!

salimo said...

HIVI HIYO MICHORO INAENDANA KWELI NA TAFSIRI ILIYOPO KATIKA UTENDAJI WETU , NAPENDA SANA MIJI YA NCHI YETU KWA UJUMLA ILA UZURI MWINGI UPO KTK MAKARATASI , MI SINA IMANI NA HAWA WATENDAJI KWANI NAONA YANAYOONGELEWA HAYAFANANI NA UHALISIA KATIKA UTENDAJI ,NABADILIKA HADI SURA SIJUI ITAKUWAJE? ILA SINA HAKIKA NA HILO NAOMBA KUTOA HOJA