Tuesday, August 16, 2011

Mjumbe Wa Nyumba Kumi Akitimiza Wajibu Wake


Mjumbe wa nyumba kumi Sinza B,Ruth Manfred(71)akiandika jina na saini yake kwenye karatasi ambalowajumbe walihudhuria kusuluhisha fumanizi hiyowaliandika majina yao na kutia saini kumaliza mzozo.Kushoto ni mmoja wa wajumbe hao akimmulikia kwa tochi ya simu.Picha na Mdau Bashir Nkromo


No comments: