Thursday, August 18, 2011

MNYAMA SIMBA AWATAFUNISHA MAJANI YANGA ... WAICHAPA YANGA BAO MBILI BILA MAJIBU (SIMBA 2-YANGA 0)


Mashabiki wa Simba wakishangilia ushindi wao dhidi ya Yanga
Fashifashi zarindima kwa furaha
Makamu Mwenyekiti wa Simba Godfrey Nyange Kaburu (kuume) akiwa na kocha wa Wekundu wa
Mchezaji Patrick Mafisango wa Simba akipokea sh. 500,000 kutoka kwa Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Iman Kajula baada ya kuwa Mchezaji Bora wa Mechi leo

Kaseja akifurahia Ngao yao ya Jamii

Ngao ikifunguliwa
Hii ndio Ngao ya Jamii yenyewe...
Mshambuliaji Emmanuel Okwi wa simba akijaribu kumpiga bao kipa wa Yanga Shabani Kado Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaaam usiku huu ambapo Simba wameibuka kidedeka kwa mabao 2-0 yaliyofungwa na Haruna Moshi 'Boban' na Felix Sunzu katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo wa Ngao ya Jamii kufungua pazia Ligi Kuu ya Vodacom inayoanza kurindima Jumamosi hii katika viwanja mbalimbali
Kikosi cha Simba SC leo
Kikosi cha Yanga leo
kocha wa Yanga na benchi lake la ufundi
Kocha wa Simba na benchi lake la ufundi
Wachezaji wa Simba wakiwang'gong'a mashabiki wa Yanga baada ya Haruna Moshi 'Boban' kufunga bao la kwanza
Furaha ya wachezaji wa Simba
Mashabiki wa Simba wakishangilia kwa nguvu zote
Simba! Simba! Simba! Simba! Oyeeeeeeee!!
Mshambuliaji hatari wa Simba Felix Sunzu akiwa kamwacha Manzese beki wa Yanga
Haruna Moshi ajeruhiwa

Haruna Moshi akitolewa nje baada ya kuumia
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la pili.
Picha zote na Francis Dande wa Globu ya Jamii
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

No comments: