KUTOKANA NA FOLENI JAMAA ANAPITA UPANDE USIO WAKE HUKU AMEONA WANAFUNZI NA WATU WENGINE WANAKATIZA UPANDE HUO
DALA DALA INAYO ONEKANA HAPO INAINGIA BARA BARANI BAADA YA KUTANUA,HUKU PEMBENI BODA BODA NAYO IKIWAHISHA MZIGO
MAKONDA WANAITA CHANGAMKIA ABIRIA, HAPA MAMBASI MAWILI YA ABIRIA YAKIJALIBU KUPITA UPANDE AMBAO SIO WAO ILI KUWAHI ABIRIA WA KITUO KINACHO FUATIA
HUYU SASA NDIO KAVUNJA REKODI KABISA AMEAMUA KUPITA NJIA AMBAYO HATA BODA BODA HAIKATIZI, JAMAA ANAEONEKANA KARIBU NA GETI HAPO ALITAKA KUGONGWA NA BASI HILO MIMI PIA MPIGA PICHA NILINUSURIKA.
=========
SWALI LA KUJIULIZA HAPA WADAU WOTE NI KWAMBA HAWA MADEREVA WOTE MWALIMU WAO NI NANI? NA KAMA KWELI NI MADEREVA WA UHAKIKA SHERIA ZA BARA BARANI HAWAZIJUI? AMA NI KIBURI? OMBI KWA WANAUSALAMA WOTE WA BARA BARANI TUNAOMBA MUWEKE WANAUSALAMA KATIKA NJIA ZOTE HII BARA BARA YA SHEKI HAKUNA KABISA WATU HAO NA KUNA AJALI ZA UZEMBE KILA WAKATI.
No comments:
Post a Comment