Thursday, August 25, 2011

NEWS ALERT......MWANAMKE AJIFUNGUA MTOTO AMTUPA SHULENI



RPC Iringa
Mwanamke asiyefahamika anadaiwa kujifungua mtoto na kumtupa katika dampo la shule ya Msingi Mshikamano katika Manispaa ya Iringa hivi sasa na umati mkubwa wa wananchi kwa sasa wapo eneo la tukio wakisubiri jeshi la polisi kufika katika eneo hilo kwa ajili ya kuchukua maiti ya kichanga hicho.
Hii ni habari iliyotua katika mtandao huu hivi punde katika mtandao huu kutoka mjini Iringa kutoka kwa wadau wa mtandao huu.
Na Francis Godwin




No comments: