Monday, August 15, 2011

SOBER HOUSE YATEMBELEWA NA MAAFISA WA MADAWA YA KULEVYA ZANZIBAR

Waratibu 
wa Sober House Tomondo Suleiman Mauly na Abdulrahman Abdulla (Mani)
wakitoa maelezo mbele ya Maofisa waandamizi wa madawa ya kulevya


Mmoja
katika vijana waliopo Sober akielezea uamuzi wake wa kujiunga na Sober
House kuachana na madawa na jinsi anavyoendelea kupata ushauri nasaha,
dawa pamoja na maelezo


Viongozi
waadamizi wa kitengo cha Madawa ya kulevya wakisikiliza kwa utulivu
maelezo yaliyotolewa na waratibu pamoja na waathirika wa madawa ya
kulevya katika ziara yao kujifunza jinsi ya kupunguza matumizi ya madawa
Zanzibar




Vijana wa Sober house tawi la Tomondo wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa waandamizi wa madawa ya kulevya.



Mimi
pia nikuwepo wakati wa picha ya pamoja pamoja na kamkoba changu kwani
nilipomaliza tu nilikimbilia kwenda kutafuta futari.

Picha Zote na Mdau
Othman Mapara




No comments: